Burudani

Young Dee afunguka kuhusu muziki wake na ujio wa Sport&Music Festival (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee ambaye ni mmoja kati ya wasanii ambao watafanya show katika tamasha la Sport&Music Festival katika mikoa wa Mwanza na Geita , amedai kwa exprience aliyokuwa nayo katika show moja ya pikipiki ni zaidi ya show ya msanii wa Marekani, Ludacris. Rapa huyo mwaka 2017 alifanya tour yake ya BBM Tour iliyofanyika kwa mara kwanza Kahama mkoani Shinyanga ambapo show hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na watu wa rika zote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents