Videos
Young Dee arudi kivingine,ametuletea video mpya ya ‘Noma Kweli’ (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young Dee ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la “Noma kweli”.
Ngoma hiyo ya Young Dee imefanywa na Producer Mr ttouch chini ya studio yake ya touch sound na video ya wimbo huu kufanywa na Director_eddy.
By Ally Juma.