Tia Kitu. Pata Vituuz!

Young Killer afunguka kuhusu penzi lake na Wolper “Napenda mwanamke mwenye pesa umri sio tatizo” (Video)

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa mara kwanza kuzungumzia mahusiano yake na mapenzi wa muigizaji Wolper baada ya hivi karibu wawili hao kujionyesha kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa Instagram. Msodoki amedai anapenda mwanamke mpambanaji na mwenye pesa huku akidai suala la umri kwake sio inshu kubwa kwa kuwa wanapendana.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW