Burudani

Young Killer asema Hip Hop inalipa, anunua ndinga

Young Killer amesema muziki umeweza kumlipa vya kutosha kiasi cha kufanya mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kununua gari lake la kutembelea.

11271040_403129863208186_387523587_n
Mpenzi wa Young Killer, Halima akiwa kwenye gari

Young Killer ameimbia Bongo5 kuwa amenunua gari hiyo ili iweze kumsaidia katika shughuli zake za kimuziki akiwa ndani ya Dar es Salaam.

“Japo sio kikubwa lakini nimenunua kagari, si jipya linanisaidia sana, ni gari la kawaida tu used na nimenunuA kwa mshikaji wangu, si unajua ndo mwanzo,” amesema rapper huyo.

11283370_1602849879985984_1309868013_n
Mpenzi wa Young Killer akiwa ndani ya gari hilo.

11311431_983349715031995_549496145_n
Young Killer akiwa na mpenzi wake, Halima

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents