Burudani

Young Thug atangaza kubadilisha jina

Rapper Jeffery Lamar Williams a.k.a Young Thug kutoka Atlanta, Marekani ametangaza kubalisha jina lake katika muziki.

Kauli ya Young Thug (26) imetoka kupitA ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter wa msanii huyo ameabya aliandika kuwa ” Kwa sasa naitwa SEX!!,” akaongeza tena “Na badilisha jina langu naitwa SEX”.

“All da Smoke” ndiyo ngoma mpya kwa sasa kwa rapper huyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents