Tupo Nawe

Yupi ni hot zaidi: Vera Sidika (KE), Agnes Masogange (TZ), Zari Hussein (UG)?

Inawezekana umeshakutana na wasichana warembo sana zaidi ya hawa, lakini leo hebu tuwatazame hawa watatu wanaowakilisha nchi tatu za Africa Mashariki yaani Kenya, Tanzania na Uganda. Leo hatuangalii nani ana pesa ngapi katika bank account yake, wala anamiliki nini, tunaangalia kitu kimoja tu, yupi ni hot zaidi ya wenzake??

Hawa ni kati ya wasichana warembo na maarufu East Africa (bila ubishi) hususan kila mmoja katika nchi anakotoka kutokana na kuwa kwenye spotlight.

Tukianza na Vera Sidika anafahamika pia kama Vee S Beiby, ni mwanafunzi, model, na mjasiriamali. Vera ameshawahi kushiriki katika video za wanamuziki wakubwa Kenya akiwemo Prezzo na kundi la P-Unit kupitia wimbo wao wa ‘You Guy’ alitokea kama video model.
vera S-1

Vera S-2

vera sidika 2

Vera-Sikida-1

Vera-6

Kutoka Tanzania ni Agnes Gerald ambaye amepata a.k.a ya Agnes Masogange kutokana na kushiriki katika video ya wimbo ‘Masogange’ ya msanii wa R&B Belle 9 ambayo ilimuongezea umaarufu mara dufu, ameshatokea pia katika video nyingine kadhaa hapa Tanzania. Agnes ni model.

Agnes-7

agnesss

agnes-6

Agnes-9

Agnes-1

Kutoka Uganda here is the sexy boss lady Zari Hussein, huyu ni mwanamke mrembo ambaye baba yake ni mchanganyiko wa Burundi na Somalia, na mama yake ni mchanganyiko wa India na Mutaaro. Zari ni ufupisho wa jina lake kamili Zarinah Zaitun Hussein. Mrembo huyu ni mwanamuziki japo hajapata mafanikio makubwa sana kupitia muziki.

zari

zari-6

zari3

zari44

Zari33

hebu chukua sekunde zako kadhaa kutathmini kila idara ya uzuri wa warembo hawa watatu kisha tupia comment yako chini tuambie nani unadhani ni ‘hot’ kuliko wenzake?

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW