Soka saa 24!

Yusuf Manji atajwa kwenye orodha ya watu wenye fedha nje ya nchi (Offshore)

Muungano wa kimataifa wa uandishi wa habari za uchunguzi, ICIJ, umemtaja mfanyabiashara maarufu wa Tanzania, Mehbub Yusufali Manji maarufu kama Yusuf Manji kuwa ni miongoni mwa watu wanaoficha fedha nje ya nchi.

Katika ripoti hiyo, ICIJ umeandika:

Details: The Manji family is one of the richest in Tanzania. It started Quality Group Limited, the country’s major conglomerate with interests ranging from automotive to food processing.

Offshore business: Director and shareholder of Intertrade Commercial Services Inc. (2007-2009) in the British Virgin Islands.

Comment: Yusuf Manji, chairman and CEO of the company, did not reply to ICIJ’s emailed request for comment. The contact address in the records is that of the company in Dar es Salaam.

Kusoma ripoti yote bonyeza HAPA

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW