Tia Kitu. Pata Vituuz!

Z Anto aachia rasmi video ya wimbo wake mpya ‘Nichape’ (Video)

Msanii wa muziki, Z Anto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nichape’. Muimbaji huyo amemtumia Binti Kiziwi kama video queen ikiwa ni miezi michache toka atoke gerezani.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW