Burudani
Z Anto akataa kuitwa mkongwe “Ukiniita mimi mkongwe Dully Sykes utamuweka wapi?” (Video)
Msanii wa muziki, Z Anto amewataka baadhi ya wadau kuacha kumuita mkongwe kwani hana sifa hiyo kwenye muziki wa BongoFleva.
“Ukiniita mimi mkongwe Dully Sykes utamuweka wapi?”