Burudani

Z Anto amshtukia sajenti ‘feki’ aliyedai katumwa na RC Makonda kuchukua kiwanja chao (Video)

Msanii wa muziki, Z Anto ambaye anadai ni mmoja kati ya wamiliki wa kiwanja cha baba yao ‘Mzee Mtundu’ kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam hatua chache baada ya kuvuka pantoni, amefunguka kuwazungumzia watu walioibuka siku jana na kudai kiwanja hicho ni chao huku mmoja kati ya watu hao akienda mbali zaidi kwa kudai kwamba walitumwa kuchukua kiwanja hicho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Z Anto amedai kabla ya watu hao wa jana kudai kiwanja hicho ni chao, siku moja kabla ya siku hiyo kuna kijana mmoja ambaye alitambulisha kwa jina Sajenti Mohamed Ally alidaiwa kufika kwenye kiwanja hicho na kudai kwamba ametumwa kukichukua kiwanja hicho na RC Makonda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents