Burudani

Z- Anto anaamini matatizo ya kifamilia yamempoteza kimuziki

Z-Anto anaamini kilichomuangusha kwenye muziki ni matatizo ya kifamilia.

ZAnto1

Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa kuondoka Tip Top sio sababu ya yeye kupotea kimuziki kama watu wanavyoamini.

“Kuna matatizo mengi na mambo mengi ambayo yamekuwa nyuma ya pazia,” amesema. “Lakini vitu ambavyo vimesababisha matatizo ni familia. Sikuweza kusimama kwenye muziki kwa sababu jukumu ambalo nilikuwa nimekabidhiwa ni kubwa sana. Lakini nashukuru Mungu sasa hivi nina ujio mpya, kazi tayari nimeshaziandaa tayari na jukumu ambalo limebaki ni kuachia tu hizo kazi.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents