Soka saa 24!

Zahera aongoza kwa kutwaa tuzo TFF, wengine watajwa (+video)

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera ameonekana kutawala katika kutwaa tuzo za mwezi zinazotolewa na Shirikisho la soka nchini (TFF) ukilinganisha na Patrick Aussems anayekinoa kikosi cha Simba SC.

Toka kuanza kwa msimu huu wa 207/18, Zahera ameshatwaa tuzo hiyo mara tatu ikiwa ni mwezi Septemba kisha kuchukua tena miezi miwili mfululizo ambayo ni ya Novemba na Desemba akichukua tena.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW