Soka saa 24!

Zahera awapatia wachezaji wake mwanasaikolojia, asisitizia ubingwa, watakiwa kusahau shida zao (+video)

Kocha wa mabingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Mwinyi Zahera ameamua kuwapatia wachezaji wake mwanasaikolojia ili kuwahamasisha katika majukumu yao. Mwanasaikolojia huyo, Winfrida Shonde ambaye ni muanzilishi wa Winnies hits for Success (WHS) amewataka wachezaji wa Yanga kusahau shida wanazopitia na badala yake kujenga maisha yao ya baadae.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW