Muziki

Zaiid aachia wimbo wa Mazishi – awadiss Nikki Mbishi, Stamina, Gosby, Young Killa, Godzilla, Wakazi, Weusi, One na wengine

Zaiid amekuja kuzika karibu kila rapper mkali wa kizazi chake kwenye Wimbo wa Mazishi. Akitumia beat ya ngoma ya Jay Z, Picasso uliopo kwenye albam ya Magna Carta Holy Grail, rapper huyo wa Who Dat ametoa wanted kwa rappers kibao, hata washkaji zake.

6847dfdbd7938748f99baf2bd8face45

“Sina Wema Sepetu halichimbui madini, flow chafu hunifui Nikki, Minaj ah ah, ,Mbishi, bisha hii ujikute maiti kama Gosby, Nawasonga, na waone, nawa p the mc, Stereo, Nash MC nawapaka game, hamna Stamina, Young Killa you are very young, Mabeste, Zilla mnarap siwasikii,mnaflow ya kivivu nakula mamc wa njano, weupe, weusi na kijivu. Mimi ni mkazi nyie Wakazi hamna hadhi.”

Swali ni Je! Wimbo wa mazishi utaleta mjadala kama verse ya Kendrick Lamar ilivyosababisha joto?

Isikilize hapa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents