Promotion

Zain yaimwagia BSS mamilioni

 

Kampuni ya simu za mikoni Zain Tanzania leo imetangazwa rasmi kuwa mdhamini mwenza katika shindano la muziki la kusaka vipaji Bongo Star Search, Zain imetoa udhamini wa shilingi Mil 100.

Pichani ni Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu Zain, Kelvin Twisa (kulia) na Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production, Rita Paulsen (kushoto) wakiitangaza udhamini wa kampuni ya Zain.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents