Zain Yatanda Afrika mashariki na kati

zain-logo_m.jpgKampuni ya simu za mkononi ya Zain imeunganisha rasmi huduma zake za mtandao mmoja kutoka Afrika Mashariki na kati ambayo inaunganisha watu milioni 500…

Kampuni ya simu za mkononi ya Zain imeunganisha rasmi huduma zake za mtandao mmoja kutoka Afrika Mashariki na kati ambayo inaunganisha watu milioni 500 kutoka pwani ya Magharibi mwa Afrika kuelekea Mashariki ya kati.

Akizungumza katika sherehe za kubadilisha jina la kampuni hiyo kutoka celtel kuwa Zain, zilizofanyika jana usiku katika viwanja vya karimjee ambapo waliungana na nchi 13 barani Afrika kupitia mtandao wao wakiadhimisha sherehe hizo afisa mwendeshaji mkuu wa Zain kanda ya Afrika mashariki Bw.

Bashar Arafeh amesema Zain inaleta pamoja shughuli za kampuni hiyo barani Afrika na zile za mashariki ya kati chini ya jina moja.

Naye mtendaji mkuu wa Zain Dr. Saad Al Barrak amesema kuanzia sasa wateja wao wataweza kuwasilina kwa urahisi na kwa garama nafuu kati ya nchi moja na nyingine na hivyo kuboresha.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents