Habari

Zanzibar yailipa Tanesco shilingi bilioni 10

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) imeanza kulipa deni lake inalodaiwa na Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco).

Taarifa iliyotolewa Jumapili hii na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa Profesa Muhongo amesema Serikali ya Zanzibar imelipa kiasi cha Shilingi bilioni 10 na itaendelea kulipa deni hilo hadi litakapomalizika.

Hii ni taarifa yake:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents