Tupo Nawe

Zari aandamwa mitandaoni kisa kivazi cha kuogelea, mwenyewe adai ‘Diamond ni Uji’ hana hadhi ya kuwa naye

Mwanamama mrembo kutoka Afrika Kusini, Zari ambaye pia ni mzazi mwenzie na Diamond Platnumz amejikuta katika kipindi kigumu baada ya kujirekodi live kwenye mtandao wa Instagram akiwa Swimming Pool akijivinjali.

Mashabiki wake walio wengi kutoka Tanzania, walianza kumshambulia kwa kumwambia kuwa, yeye ni mama mwenye watoto wakubwa sio vizuri kurusha picha lama zile mtandaoni, huku Zari akiwajibu kwa jeuri mashabiki hao.

herieth_shee-Kuna watu washamba jamani,mnampangia mtu maisha wakati hamumpi hata shilingi???acheni hizooo

umbea_vibes-So wanao wanakuchungulia kitumbua chako @zarithebosslady

my_new_trends-@zarithebosslady be necked zari it’s ur house pool not African attire but don’t post this pictures ur not in America where people don’t give a f…

leila.yasin.56-Mh jmn mbn ww zari unatudhalilisha cc wanawake ndomambo gn hyo.

Kwa upande mwingine, mdau mmoja alijitokeza na kumuuliza kwa jinsi alivyokwa sasa anaweza kurudiana na Diamond Platnumz? Zari alimjibu kwa jeuri na kumwambia ‘aache kuleta Uji kwenye Bar’ akimaanisha kuwa yeye kwa sasa ni level za juu hawezi tena kurudiana na Diamond ambaye amemfananisha na ‘uji’ .

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW