Zari akoleza mahaba kwa Diamond

Ikiwa imepita wiki kwa sumbaa picha zikimuonesha wema na Diamond wapo kwenye party ya Meneja wa Diamond, Zari akapost picha ya kutaka tumuombee ex- wake Ivan apone kwani anaumwa na amelazwa katika hospital moja huko Afrika Kusini

Hatimaye leo Zari ameamua kuweka wazi kuwa yeye na mpenzi wake Diamond mambo kwao ni safi tu. Zari amepost picha akiwa na baby daddy wake huyo kupitia Instagram zikiwa ni throwback ya picha za arobaini ya mtoto wao wa pili Nillan.

Siku chache zilizopita Wema Sepetu Naye alimjibu shabiki yake kuwa yeye na Diamond hakuna kitu na kwamba watu wamuombee apate mume bora na sio bora mume.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW