Burudani

Zari amkumbuka mzazi mwenzie, aandika ujumbe huu kama kumuenzi marehemu Ivan

Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz Zari amemkumbuka mume wake ambaye alizaa nae watoto watatu marehemu Ivan ingawa watoto wengine wawili alizaa na msanii Bongo Fleva Diamond Platnumz ambao ni Tiffah pamoja Nillan.

Mwanamama Mjasiriamali ameandika ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Instagram ukionyesha kumkumbuka Ivan pamoja na kusema kuwa:

Ukimaanisha kwamba ” Leo ungetmiza umri wa miaka 41 kama ungekuwepo hai, lakini Mungu alikuwa na mipango yake mingine, ndio ingawa tunakukosa wewe kuwa hapa kimwili lakini nahisi kama hujaondoka upo na sisi. Ninakuona kupitia watoto wako, ninahisi uwepo wako kila mahali mimi nilipo, Urithi wako unaendelea kuishi, Endelea kulala kwa amani mpaka tutakapokutana tena.” @Ivan.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents