Burudani

Zari na Hamisa washambuliana na mashabiki mitandaoni baada ya kuulizwa kuhusu Tanasha kuja Tanzania (+ Video)

Wadada wajasiriamali amabo pia ni wanamitindo Zari the Boss;ady pamoja na Hamisa Mobetto amabo wote wamezaa na Diamond Platnumz, siku ya jana walishambuliana na mashabiki mitandaoni baada ya kuulizwa kuhusu Tanasha kuja Tanzania na kuonekana wako pamoja na Diamond Platnumz.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents