Tupo Nawe

Zari The Bosslady akava jarida la True Love East Africa

Baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo mpya wa Iyena wa Diamond ambao umezua gumzo kubwa, Zari The Bosslady anazidi kung’ara.

Mrembo huyo ataonekana tena kwenye jarida la True Love East Africa ambapo amezungumzia mambo mengi yakiwemo maisha yake.

Kwanye cover ya jarida hilo Zari ametokea kwenye muonekano kama wa malkia.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW