Shinda na SIM Account

Zayn Malik na Gigi Hadid waachana

Mwaka 2018 umeendelea kuwa ni washetani kwa couple za wapendanao wenye majina makubwa. Zayn Malik na Gigi Hadid waongeza orodha ya mastaa waliomwagana kwa mwaka huu.


Zayn Malik na Gigi Hadid

Wawili hao wamethibitisha kuachana kupitia mtandao wa Twitter. Zayn alikuwa wakwanza kuandika ujumbe huo hapo chini kwenye mtandao huo.

Hata hivyo Hadid alijibu mapigo kupitia mtandao huo kwa kuandika:

Wawili hao wameachana ikiwa ni takribani miaka miwili imepita wamedumu kwenye mahusiano ya kimapenzi ambayo walianzisha July 2016.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW