#ZEROTOHERO : Kijana mjasiriamali aliyetoka kwenye wizi mpaka kuwa Cutting Master Dar na kuajiri vijana 21 (Video)

#ZEROTOHERO Ijumaa hii imekutana na kijana mjasiriamali Rijay Ayubu Ngede maarufu, Master Cutting kinyozi aliyejizolea mashabiki wengi kutokana wa uwezo wake wa kunyoa. Kijana huyo ambaye kwa sasa amewaajiri vijana wenzake 21, ame-share kwa mashabiki jinsi alivyoachana na wizi huku akitana vijana wengine kutafuta shughuli za kufanya kwani kukaa hivyo kunaleta vishawishi.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW