Habari

Ziara Mkoani Iringa : Makamu wa Rais katika Wilaya ya Kilolo (+Picha)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo katika ziara yake ya siku ya pili katika mkoa wa Iringa yupo katika wilaya ya Kilolo mkoani humo. Hata hivyo Makamu wa Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya siku nne ambapo jana aliwasili rasmi.

Tazama picha zaidi;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents