Bongo Movie

Zimwi awasihi ma-comedy wenzake

Zimwi_karateMwigizaji maarufu wa filamu za Vichekesho, Zimwi amewataka wasanii wenzake wangane kwa pamoja ilikudai haki zao kwa matajiri wanaomiliki

vyombo vya usambazi wa filamu na sio kuwang’ang’ania wasanii wenzao wanaoigiza filamu za sliasi, kama wanavyoziita


Alisema matajiri wao ndiyo wenye nguvu za kuweza kuwasaidia  ilikupata haki zao, na sio hao waigizaji, kwani wanapobanwa kwenye soko ndiyo sababu wanakuwa maskini na kuigiza filamu kwa bei nafuu na hata kwa mkopo.

Lakini amesema kama wataweza kuwashawishi wasambazaji na matajiri kununua filamu kwa bei nzuri basi wanaweza kuwapata nafuu hata katika kuigiza kwa wasanii wengine

Zimwi

Zimwi_mdomo

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents