Siasa

Zinduka!

Image
Professor Jay na Rais Kikwete

Image
Rais Kikwete na Marlaw

Image
Rais Kikwete na Banana Zorro

Image
Rais Kikwete na Bi Kidude

Image
Rais Kikwete na Lady Jay Dee

Rais Jakaya Kikwete akiwa amepeana mkono na wanazumziki mbali mbali wa hapa bongo akiwamo bi Kidude, Lady Jay Dee, Professor Jay, Banana Zorro na Marlaw Ikulu jijini Dar kwa lengo la kupiga picha mbalimbali kwa ajili ya ZINDIUKA! kampeni ya kutokomeza malaria inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi Februari 13, mwaka huu kwa onyesho kubwa litakalofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kionondoni.

Image
Rais Kikwete na Raqey kutoka iView

Mgeni wa heshima anatarajiwa kuwa Rais Kikwete na kampeni hiyo itaendeshwa nchi nzima kuhamasisha kizazi kipya cha vijana kupambana na ugonjwa wa malaria ili kuifanya jamii iwe salama dhidi ya ugonjwa huo chiji ya uratibu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii na mradi wa kutokomeza malaria.

Picha zote kwa hisani ya iView na Raqey.com

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents