Habari

Zitto ageuka mbogo tishio la kufutwa ACT Wazalendo, ataka taasisi za dini ziingilie kati ‘Takbir neno la kawaida, CCM imepata mchecheto’

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka kwa mara ya kwanza kwa kujibu barua ya Msajili Mkuu wa Vyama vya Siasa nchini kukitaka Chama hicho kujieleza ndani ya siku 14 kwa kukiuka sheria za usajili. Tazama video hapa chini akijibu barua hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents