Habari

Zitto azidi kukomalia ununuzi wa Boeing Airplanes

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea kushikilia msimamo wake kuwa manunuzi ya ndege aina ya Boeing Airplanes una tatizo, kitu kilichopekelea hadi kuomba mkataba wa ndege hiyo bungeni.

Zitto Kabwe

Kauli ya Zitto inakuja mara baada ya Gazeti la Jamhuri kuandika habari yenye kichwa ‘Zitto Anyukwa’, na kueleza kuwa Mbunge huyo wa Kigoma Mjini ameshindwa na kudai anapotosha Umma kuhusu taarifa za ndege hiyo, jambo ambalo Zitto anaokekana kutokubaliana nalo.

Kupitia mtandao wa twitter Zitto ameandika, “Nimeomba mkataba wa ndege hii rasmi Bungeni, nitawapa mrejesho. Kuna tatizo kubwa kwenye manunuzi haya, Boeing Airplanes wamepaniki sana,”.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents