Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Zitto Kabwe atoa maneno mazito kwa Spika Ndugai

Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa anamsikitikia sana Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kama haoni jinsi heshima ya Bunge inavyoshuka.

Baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai leo kuagiza na kuwataka wabunge Zitto Kabwe pamoja na Saed Kubenea wa Ubungo kufika kwenye Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kutokana na kauli zao ambazo wamezitoa hivi karibuni. Mhe. Zitto ametumia ukurasa wake wa twitter kutweet.

Hizi ni tweet za Zitto Kabwe alizotweet:
Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW