Bongo Movie

Zola d, Benjamini na Kervin kuja na Crying Face’s

1_Benja_Kevi_zola

Wasanii wa ngumi, filamu na muziki wameungana pamoja na kuzindua filamu mpya itakayokwenda kwa jina la CRYING FACE’S, ambayo wasanii hao ni Zola D, Bingwa wa KickBox, Kervin Mkali wa filamu za mapenzi na ACTION, pia na Benjamini wa Mambo Jambo kwa pamoja wameandaa Crew.

 

Wakiongea na Bongo5, walisema itakuwa ni filamu ya kusisismua na wanadhani hakutakuwa na filamu kama hiyo, iliyojaa hisia kali za mapenzi Action na Comedy. Kervin amesema muda mwingi alikuwa kimya katika suala zima la filamu na ujio wake mpya nadhani utakuwa mkubwa zaidi kuliko watu walivyodhani.

anasema yeye ndiyo pekee atakaye leta mapinduzi mapya katika tasnia ya filamu za Action, kwani anamarajio makubwa na sasa anamiliki kundi la Simple Arts Group, na Simple Production ilikufanya kaziĀ  bora zaidi

 

2_Kevi

Wakati huo Zola D, amesema ujuzi na uzoefu wake wa ngumi anataka kuurudisha kwenye filamu, jambo analoamini atakuja kureta mapinduzi makubwa kwani anauzoefu wa michezo ya ngumi.

pia alieleza kwamba ngumi kwake ameshazizoea kwani ameshapambana mapambano mengi, na sasa anataraji kufanya makubwa kwenye filamu.

Wakati Benjamini, amesema yeye anauzoefu mkubwa katika masuala ya filamu, kwa hiyo hatoongea mengi, watu wasubiri hiyo Cryingi Face’s

3

 

5_wakomedi

Hapa Ma comedy nao walikuwa katika moja ya pozi lao, hakika wameahidi kutoa ile buludani, ambayo watanzania wamekuwa wakiitaka

4_Wakina_dada

Rose Gosper, Sofia Michande na Newster Peter, ni wanadada ambao wanafanya vizuri katika tasnia ya filamu ambao nao wanahitaji kuonyesha uwezo wao. wanaomba watanzania waangalie filamu mpya bila kujali majina kwani wachanga ndiyo wanaofanya kazi nzuri kuliko wakongwe kwa sasa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents