Burudani

Zuchu:Namshukuru Rais Magufuli mstaafu Kikwete na Diamond kwa upendo, Kwanini iwe mimi na asiwe mwingine (+Video)

Namshukuru sana Rais wangu Magufuli kwa upendo alioonyesha kwagu pia Mstaafu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete lakini pia kwa Boss wangu na Role model wangu @diamondplatnumz , kuna wasichana wengi na kuna kipindi najiuliza kwanini imekuwa mimi hata WCB nzima sasa hivi kila kitu ni @officialzuchu

Mbali na hilo ameeleza kuwa @mbosso_ ndio msanii wake pendwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents