Zuchu katika ujio mpya wa kimataifa, aachia video na msanii wa Nigeria Joeboy ‘Nobody’ (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialzuchu ameachia video ya ngoma yake mpya aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria @joeboyofficial #NOBODY, Ngoma hiyo ikiwa imefanywa na Director Kenny huku audio akiifanya Prodyucer Lizzer Classic kutoka Wasafi.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW