Burudani
Zuku Tv yafunguliwa rasmi Tanzania
Kundi la muziki wa kizazi kipya la Tmk wanaume famili wakiongozwa na Chege na Temba, wakifanya show kama wasanii wa kwanza katika uzinduzi wa Zuku Tv, ambayo inapatika kana kwa mtindo wa Satelaiti, huku ikionyesha stesheni mbalimbali na matukio mbalimbali.. Katika Show hiyo ilipamba na wasanii mbalimbali wakiwemo wa Bongo Movie na Bongo Fleva, ambayo ilifanyika jana katika Hoteli ya Golden Tulip
Dokii akifuatilia tamasha linavyokwenda
Saidi Fella akifuatilia tamasha wakati Tmk Wanaume wakiwa jukwaani
Kibonde alipokutana na Fid Q katika uzinduzi
Benny wa ZIFF, monalisa na Natasha katika pozi
Mtk wakikata mapanga jukwaani, kwa ile staili ambayo ilizuzua sana mashabiki wa muziki wa kizazi kipya, hasa wale wanaopenda kucheza staili za kibabe.