Burudani ya Michezo Live

ZUNGU: “Jaza ujazwe Magufuli katujaza maendeleo sisi tutamjaza kura, Asiyejiandikisha amechafua mazingira” – Video

ZUNGU: "Jaza ujazwe Magufuli katujaza maendeleo sisi tutamjaza kura, Asiyejiandikisha amechafua mazingira" - Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira nchini Tanzania Mussa Zungu amewaomba Wana Dar Es Salaam kumpatia kura rais Magufuli kwa kusema kauli hii inaitwa JAZA UJAZWE

Mbali na hilo Waziri Zungu amewataka wakazi wote wa Dar Es Salaam kuhakikisha wanajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kusema asiyejiandikisha kachafua mazingira.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW