Burudani
Abby chams sipo kimahusiano na rapa Toxic
Pamoja na kutembelewa nyumbani Hulu Rapa @toxicofficiall_ akijimaliza kwa kueleza hisia zake kwa @abigail_chams Bado jitihada zake hazija zaa matunda #Abby anasema hayupoa kwenye mahusiano na Rapa huyo