Ukanda wa Afrika Kaskazini inawezekana ndio ukanda wenye wasanii wakubwa barani Afrika baada ya ukanda wa Afika Magharibu na Afrika Kusini.
Kwa upande wa Youtube wasanii kutoka Misri, Morocco na Algeria ndio vinara kw akuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao huo.
1. Mohamed Ramadan kutoka Misri ana wafuasi (Subscribee) milioni 15.7,
2. Saad Lamjarred kutoka Morocco ana Subscriber milioni 15.4
3. Soolking wa Algeria ana milioni 10.7
4. Diamond Platnumz milioni 9.47
Diamond anaongoza Kusini mwa Jangwa na Sahara akifuatiwa na Rayvanny akiwa nafasi ya 11 na milioni 5.28 huku Burna boy akiwa nafasi ya 12 na milioni 5.03.
Katika orodha hii 10 wasanii wa Ukanda wa Uarabuni yaani Afrika Kasikazini wapo 9 na @diamondplatnumz pekee ndio amewaharibia Orodha yao.
Katika orodha 20 Wasanii wa Nigeria wapo wanne tu na Tanzania wapo watatu tu.