Burudani
Sean Paul atua Nchini kukiwasha Lugalo Golf akiwa na mastaa wa Tz
Tazama Nyota wa Muziki Sean Paul alivyowasili Uwanja wa Ndege wa Terminal 3 mchana wa leo akiwa na timu yake si mchezo kukabiliana na jopo la wasanii wa Bongo pamoja na Chley wa Afrika ya Kusini
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya Youtube ya Bongo Five
Written and edited by #abbrah255 and @el_mando_tz