Burudani
Truba Tz amkubali Chino na Zuchu ahamia kwenye piano
@truba_tz Amesema ZUCHU Anwaga Moto Kweli Kweli Ni Msanii ANAMKUBALI Kwakua Anaimbia Generation Ya Sasa Lakini Pia MARIOO
Truba Alijizolea Umaarufu Kwa Uwezo Wake Wakuchana Freestyle Kwenye Dakika Kumi Za Maangamizi Ya planet Bongo lakini Pia Amefanya Nyimbo Nyingi Za Hip hop Nasasa Ameamua Kuuvamia Muziki Wa AMAPIANO Alifanya WIMBO Wake Mpya Na G Nako Pamoja Na Dully Sykes