Burudani
Chief Godlove atangaza kufunga Challenge ya kufanya Mazoezi

@chief_godlove ametangaza kuifunga rasmi Challenge ya kufanya mazoezi huku ukiwa na magari yako ilianziahwa na Wasanii Gunna na Deluro, kwani yeye ametumia magari yake ya kifahari na yenye bei kubwa zaidi kuliko wote walioshiriki Challenge hiyo.