Burudani

Victoria Kiamani kutafuta kiki kwa Diamond

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia kauli ya msanii wa Kenya Victoria Kimani kusema gari aina ya Rolls Royce ya Blue iliyopo Afrika Mashariki ni Fake.

Wengi wanajua Rolls Royce ya Blue ya msanij inamilikiwa na Diamond Platnumz kutoka Tanzania, anasema Victoria Kimani hatakiwi kabisa kumuongelea vibaya Diamond.

Hapa Tanzania Victoria Kimani alitambulishwa na Diamond hakuna mtu alikuwa anamjua kama msanii wa muziki ila kupitia ngoma ya Procoto alifahamika zaidi.

Kwa Exposure yake anajua kabisa hakuna Rolls Royce Fake duniani maana kampuni inayotengeneza magari hayo hawawezi kuruhusu kampuni yao ichafuliwe kwa magari Fake.

Kama yapo Fake maana yake wangeweza kuya-control yasiharibu BRAND yao ila kwa Victoria Kimani inaonyesha ni chuki dhidi ya Diamond.

Huenda ni kwa sababu ya mafanikio ya Diamond.

Uchambuzi mzima Upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Cameraman @samirkakaa & @johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents