Michezo

Kevoo wa Yanga aumia na mwenendo wa Simba wa sasa baada ya ujio wa Kocha mpya

Shabiki wa Yanga @officialkevootz amesema Yanga wamewaacha mbali Simba kwenye mechi za CAF, wamekosa tu Kombe ila mafanikio yao ni makubwa, Kevoo atangaza vita nzito dhidi ya Simba msimu huu.

Pia kueleke michezo mijayo ya kombe la Mabingwa Afrika shabiki huyo amefunguka juu ya mipango yao ili kufanikisha timu yao inafanya vizuri na kufuzu atua inayofuata ya makundi.

 

 

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5 kwa ajili ya interview kamili.

 

 

 

 

 

 

 

 

🎤@witnessflavian24
🎥@mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents