Bongo5 ExclusivesBurudani
Abby Chams alivyotambulisha Ngoma yake mpya (Video)

Tazama vibe la mshabiki wa msanii @abigail_chams wakati msanii huyo anatambulisha wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Nyash usiku wa kuamkia leo Element Club ikiwa ni kwa mara ya kwanza ni bonge la amapiano
Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongo5