Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Abdukiba aoa mke wa pili? video zaonyesha akifunga ndoa

Msanii huyo ambaye ni miongoni mwa wasanii waliopo kwenye lebo ya @kingsmusicrecords @officialabdukibaa ameonekana akiwa kwenye ishara ya kufunga ndoa.

Wengi tunafahamu kuwa @officialabdukibaa alioa mke wake siku moja na kaka yake @officialalikiba na kama amefunga ndoa basi itakuwa ndoa yake ya pili.

Bongofive tunaendelea kufuatilia na tutakujuza kama ni kweli amefunga ndoa au kuna project inaandaliwa.

Related Articles

Back to top button