Michezo
Adebayo atua Singida Black Stars

SINGIDA Black Stars (zamani Ihefu) imedaiwa ipo katika mazungumzo na nyota aliyewahi kutakiwa na Simba, Victorien Adebayo kutoka Niger sambamba na kipa kutoka AC Horoya ya Guinea, Mohamed Kamara.

Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa, Singida inamtaka Adebayor aliyewahi kucheza RS Berkane na AmaZulu.




