Michezo

Aden Rage akasirishwa GSM kunyimwa kuidhamini Ligi Kuu kisa Yanga (Video)

Aliyewahi kuwa Rais wa Simba Aden Rage akiwa kwenye mdahalo wa kuangalia tathmini ya Ligi Kuu ya 2021/22 na mchango wa serikali katika kuchochea ukuwaji wa mpira.

Rage amezungumzia vitu mbalimbali akiwataka viongozi wa TFF kuwaheshimu watu ambao anaonyesha nia ya kudhamini ligi kuu.

Related Articles

Back to top button