Michezo

African Lyon wajipange Vs Simba kombe la Shirikisho- Abbas Pira (+Video)

Mabingwa wa Nchi Simba SC leo hii wameapa kumteketeza African Lyon baada ya kuyachanua makucha yake mbele ya vigogo wa Afrika klabu ya Al Ahly ya Misri. Abbas Pira ameuangazia mchezo huo ambao wadau wengi wa soka wanaamini Lyon atakuwa na kibarua kizito cha kujitetea mbele ya Mnyama kwenye mchezo huo muhimu wa Shirikisho. #ASFC

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents