Burudani

Afya ya Mchekeshaji Zimwi yazorota, aomba msaada (Video)

 

Mchekeshaji Zimwi ambaye afya yake imezorota kutokana na maradhi ya moyo anaomba msaada kwa Watanzania na wadau wasanaa baada ya kuipambania afya yake kwa miaka miwili bila mafanikio.

Muigazaji huyo amedai tayari ameshahangaika katika hospitali kadhaa na ameambiwa ana tatizo la moyo hivyo ameshindwa kuanza matibabu kutokana na gharama kuwa kubwa na tayari amesimama kwenye kazi kwa miaka miwili anajiuguza.

Amewaomba wasamaria wema, wadau wa sanaa kuokoa uhai wake kwani kwa sasa anaishi maisha ya shida sana.

Kwa sasa amerudi kwa Mama yake ambaye ni mzee huko Sabasaba kwa Mpili, Temeke jijini Dar Es Salaam.

Ameomba @wizara_sanaatz pamoja na Naibu Waziri wa Sanaa @mwanafa kuangalia namna yakumsaidia.

Kwa sasa anapatikana kwenye namba 0716 190 198

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents