Michezo
Ahadi 10 walizopewa Simba na Mzabuni mpya hizi hapa

𝐀𝐇𝐀𝐃𝐈 𝐊𝐔𝐌𝐈 𝐙𝐀 𝐌𝐙𝐀𝐁𝐔𝐍𝐈 𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐌𝐏𝐘𝐀 𝐖𝐀 𝐉𝐄𝐙𝐈
1. Ukarabati wa Viwanja vya Mazoezi
2. Ujenzi wa Uwanja wa mechi wenye mashabiki Elfu 10 mpaka Elfu 12
3. Bus la Kisasa la timu kubwa
4. Kituo cha Matibabu ( Medical Center)
5. Ofisi mpya za klabu
6. Studio za kisasa kwa ajili ya idara ya habari
7. Milion 100 kila Pre Season
8. Milion 100 kila Simba Day
9. Milion 100 kwa ajili ya program za vijana
10. Kila mwaka atasajili mchezaji mmoja atakaependezwa
Haya yote yanawezekana endapo mashabiki wa Simba tutamuunga Mkono mdhamini wetu kwa kununua Jezi Original na kuwafichua maharamia wote watakaozalisha na kuuza Jezi zetu
Tumuunge mkono @joerwegasira atimize malengo yake na malengo ya klabu
Simba mpyaaaaa inakuja chini ya Jayrutty Investment Co Limited