Michezo

Ahmed Ally: Anayemdhihaki Chasambi Ujumbe wake huu hapa

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba leo baada ya Ushindi dhidi ya Tanzania Prison 3-0 katika Uwanja wa KMC Complex Ahmed Ally ameamua kujibu juu ya mashabiki wa klabu ya Yanga waliokuwa wanavaa jezi za yanga zilizochapishwa jina la Chasambi.

Ikumbukwe Simba amerudi tena kileleni baada ya Ushindi huu na kuwashusha watani wao Yanga ambao Jana walipata sare dhidi ya JKT Tanzania katika Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo uliopo Mbweni Dar es Salaam.

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5

Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents